Purchasing process

HATUA ZA KUMILIKI NYUMBA YAKO :- (i) Muombaji anatakiwa awe anamiliki kiwanja au kama hana , Hans Mult Consult Company Lmited Wanatafuta kiwanja kulingana na eneo/mahali anapopenda kisha atalipia kulingana na uwezo wake. (ii) Jaza form kutoka ofisi zetu (Dodoma) au download hapa kwenye website yetu kwenye (Application form). (iii) Kisha rudisha ofisini au tuma kwenye anuani yetu (P.O BOX 4198) ukiambatanisha na copy ya documents za umiliki. (iv)Tutapitia maombi yako kwa pamoja nakutembelea Site kuthibitisha eneo lako lilipo,ukubwa wa eneo ,umiliki halali na mazingira ya kiwanja kilipo. (v) Baada ya kujiridhisha utalipia 50% ya nyumba uliochagua kisha kusaini mkataba kati yako na Hans Mult Consult Company Limited. (vi) Nyumba yako itajengwa na kukamilishwa ndani ya miezi mitatu (3) kisha utakabidhiwa funguo ikiwa imekamilika na wewe kumalizia 50% iliyobaki.